Kurasa.

Sera ya Faragha

Kurasa inaheshimu faragha yako. Ukurasa huu unaeleza taarifa tunazokusanya na jinsi tunavyozitumia.

Taarifa tunazokusanya

Jinsi tunavyozitumia

Tusichofanya

Hatuuzi wala hatukodishi taarifa zako kwa mtu yeyote. Nenosiri lako huhifadhiwa kwa njia iliyofichwa (encrypted) na haliwezi kusomwa na mtu.

Kukufutia akaunti

Unaweza kuomba kufutiwa akaunti na taarifa zako wakati wowote kwa kutuandikia info@kurasa.co.tz.

Sera hii inaweza kubadilika. Mabadiliko yatawekwa kwenye ukurasa huu.